José Freire Falcão
Mandhari
José Freire Falcão (23 Oktoba 1925 – 26 Septemba 2021) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Brazili. Alitumikia kama Askofu Mkuu wa Brasília kuanzia mwaka 1984 hadi 2004. Aliteuliwa kuwa Kardinali mwaka 1988.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la LIX. 1967. ku. 522, 749. Iliwekwa mnamo 28 Septemba 2021.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |