Nenda kwa yaliyomo

José Benito Monterroso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
José Benito Monterroso

José Benito Silverio Monterroso Bermúdez (Montevideo, 17881838) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Banda Oriental, jina la Uruguay kabla ya uhuru.

Alitawazwa katika Shirika la Wafransisko na baadaye akawa mhadhiri wa Falsafa na Theolojia katika Chuo Kikuu cha Córdoba.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.