Nenda kwa yaliyomo

José Alfredo Caires de Nobrega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Askofu José Alfredo Caires de Nobrega (alizaliwa Caniço, Santa Cruz, Madeira, Ureno, 12 Aprili 1951) ni Askofu wa Jimbo la Mananjary, Madagaska.

Alipadrishwa tarehe 28 Desemba 1980 na Shirika la Mapadri wa Moyo Mtakatifu. Aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Askofu mnamo Oktoba 2000.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.