Jorge Luis Lona
Mandhari
Jorge Luis Lona (23 Novemba 1935 – 19 Agosti 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Argentina.
Alizaliwa nchini Argentina akapadrishwa mwaka 1979.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Dayosisi ya San Luis kutoka 2000 hadi 2001, kisha akawa askofu wa dayosisi hiyo kuanzia 2001 hadi alipoastaafu mwaka 2011.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Jorge Luis Lona". Catholic-Hierarchy. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |