Nenda kwa yaliyomo

Jorge Enrique Jiménez Carvajal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jorge Enrique Jiménez Carvajal C.J.M. (alizaliwa 29 Machi 1942) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Cartagena kuanzia mwaka 2008 hadi 2021. Alikuwa Askofu wa Zipaquirá kuanzia 1992 hadi 1994 na Askofu Mkuu msaidizi wa Cartagena kuanzia 2004 hadi 2005.

Papa Fransisko alimfanya Jiménez kuwa Kardinali tarehe 27 Agosti 2022.[1]

  1. "Arzobispo Emérito" (kwa Kihispania). 15 Januari 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.