Jorge Drovandi
Mandhari
Jorge Alberto Drovandi (aliyezaliwa 5 Novemba 1985 mjini Rosario) ni mchezaji wa soka kutoka Argentina anayekichezea klabu ya Sportivo Barracas katika nafasi ya mshambuliaji wa kushoto. Jina lake la utani kwa Kihispania ni "El Mono", ambalo linamaanisha “Nyani”.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ormond, Aidan (29 Juni 2007). "Jets To Unleash "Excitement Machine"". Australian FourFourTwo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 14 Septemba 2007.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jorge Drovandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |