Jonatan Acosta
Mandhari
Jonatan Leonel Acosta (alizaliwa 11 Oktoba 1988) ni mchezaji wa kandanda wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya kiungo mshambuliaji. Kwa sasa anachezea klabu ya Southern inayoshiriki Ligi Kuu ya Hong Kong.
Tarehe 10 Januari 2018, Acosta alisaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya PKNS.
Tarehe 16 Februari 2019, alijiunga na klabu ya Dreams ya Ligi Kuu ya Hong Kong.
Tarehe 19 Julai 2019, klabu ya Lee Man ilitangaza kumsajili Acosta.[1]
Tarehe 11 Julai 2024, Acosta alijiunga na klabu ya Southern.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "夢想FC簽咗個前阿根廷U21". on.cc. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (in Chinese)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jonatan Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |