Jokondo wa Aosta
Mandhari

Jokondo wa Aosta (kwa Kifaransa: Joconde d'Aoste; karne ya 5 - 523 [1]) anakumbukwa kama askofu wa 3 wa mji huo wa Italia Kaskazini baada ya Grato wa Aosta [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Joseph-Marie Henry Histoire populaire, religieuse et civile de la Vallée d'Aoste Imprimerie Marguerettaz, Aoste 1929 réédition 1967 p. 534
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90639
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kifaransa) Joseph-Auguste Duc, Saint Joconde II évêque d’Aoste. Sa vie et son culte, Aoste (1894).
- (Kiitalia) Aimé-Pierre Frutaz, Le fonti per la storia della Valle d'Aosta, Edizioni di storia e letteratura, Rome (1966).
- (Kiitalia) Francesco Lanzoni, Le diocesi d'Italia dalle origini al principio del secolo VII (an. 604), vol. II, Faenza 1927, p. 1055
- (Kiitalia) Fedele Savio, Gli antichi vescovi d'Italia. Il Piemonte, Torino 1898, pp. 76–77
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |