John Walter Flesey
Mandhari
John Walter Flesey (alizaliwa [[6 Agosti], 1942) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Newark, New Jersey, kuanzia mwaka 2004 hadi 2017.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Flesey". Archdiocese of Newark (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-10.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |