Nenda kwa yaliyomo

John Tudor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Tudor (25 Juni 194610 Februari 2025) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye aliichezea klabu za Coventry City, Newcastle United, Sheffield United, na Stoke City. [1][2]

  1. "JOHN TUDOR". neilbrown.newcastlefans.com. Iliwekwa mnamo 2023-03-14.
  2. Matthews, Tony (1994). The Encyclopaedia of Stoke City. Lion Press. ISBN 0-9524151-0-0.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Tudor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.