John Sell Cotman
Mandhari
John Sell Cotman (Mei 16, 1782 – Julai 24, 1842) alikuwa mchoraji picha za baharini na mandhari , mchongaji , na mwanachama mkuu wa Norwich School of painters. Alisomea katika Royal Academy lakini hakufaulu kufanya kazi mjini London, akarudi Norwich na kufundisha kuchora na uchoraji.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Drawing (House at St Stephen's Road, Norwich)". British Museum. Iliwekwa mnamo 1 Januari 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Sell Cotman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |