John Ribat
Mandhari
John Ribat MSC KBE (alizaliwa 9 Februari 1957) ni askofu wa Kanisa Katoliki wa Papua Guinea Mpya na kardinali tangu mwaka 2016. Amekuwa Askofu Mkuu wa Port Moresby tangu mwaka 2008.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Luxmoore, Jonathan (28 Oktoba 2016). "Papua New Guinea's first cardinal to represent Catholics in 'small places'". The Catholic Register. Catholic News Service. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |