John Lockwood Kipling
Mandhari
John Lockwood Kipling (Julai 6, 1837 – Januari 26, 1911) alikuwa mwalimu wa sanaa, mchoraji picha, na msimamizi wa makumbusho nchini Uingereza ambaye alitumia sehemu kubwa ya taaluma yake nchini Uhindi. Alikuwa baba wa mwandishi Rudyard Kipling.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ John Lockwood Kipling, C.I.E. New York Times, 24 January 1892.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Lockwood Kipling kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |