Nenda kwa yaliyomo

John Krol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Joseph Krol (26 Oktoba 19103 Machi 1996) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani. Alikuwa Askofu Mkuu wa Philadelphia kuanzia 1961 hadi 1988, baada ya kuhudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo la Cleveland (1953–1961). Aliwekwa katika daraja la Kardinali mwaka 1967 na Papa Paulo VI.[1]

  1. "John Joseph Cardinal Krol". Catholic-Hierarchy.org.[self-published source]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.