Nenda kwa yaliyomo

John James Rickard Macleod

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanafiziolojia John Macleod

John James Rickard Macleod (6 Septemba 187616 Machi 1935) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uskoti. Hasa anajulikana kuwa mmoja wa wanasayansi waliogundua insulini. Mwaka wa 1923, pamoja na Frederick Banting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John James Rickard Macleod kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.