Nenda kwa yaliyomo

John J. McIntyre (askofu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Joseph McIntyre (alizaliwa 20 Agosti 1963) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Tangu Agosti 6, 2010, amehudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Philadelphia, Pennsylvania.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.