John Ireland (mwimbaji wa Afrika Kusini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Ireland (alizaliwa 23 Agosti, 1954) ni msanii wa muziki wa pop wa nchini Afrika Kusini ambaye alianza kutumbuiza mwishoni mwa miaka ya 1970.

Wimbo wake wa "I Like" ulishika nafasi ya 20 bora nchini Afrika Kusini kwa wiki 15 mnamo 1982. Wimbo wake mwingine uliopokelewa vyema na mashabiki ni "You're Living Inside My Head". John Ireland ni jina lake la sanaa anajulikana kama "Dk John Griffith", mara huwa amejitenga na huwa hafanyi mahojiano. [1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Currin. John Ireland - South African Multi-instrumentalist. www.rock.co.za.
  2. Andersson, Muff. Music in the mix: The story of South African popular music. Ravan Press, 1981. p45.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Ireland (mwimbaji wa Afrika Kusini) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.