John Hatton (askofu)
Mandhari
John Hatton alikuwa askofu wa Anglikana nchini Uingereza mwanzoni mwa karne ya 16.
Alisomea katika Chuo Kikuu cha Oxford na mwaka 1503 aliteuliwa kuwa Askofu Msaidizi wa Thomas Savage, Askofu Mkuu wa York. Baadaye, mwaka 1506, aliteuliwa kuwa Askofu Msaidizi wa Nottingham.[1]
Hatton alifariki tarehe 25 Aprili 1516 na amezikwa katika Kanisa Kuu la York Minster.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Alumni Oxonienses 1500-1714, Harmar-Hawtayne
- ↑ "HISTORY OF NOTTINGHAM" Blackner, J p288:Nottingham; Sutton & Son; 1815
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |