Nenda kwa yaliyomo

John Francis Whealon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Francis Whealon (15 Januari 19212 Agosti 1991) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Hartford, Connecticut, kuanzia mwaka 1968 hadi 1991.

Kabla ya hapo, alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Cleveland, Ohio, kuanzia mwaka 1961 hadi 1966 na kama askofu wa Jimbo la Erie, Pennsylvania, kuanzia mwaka 1966 hadi 1968.[1]

  1. Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.