Nenda kwa yaliyomo

John Douglas (mtoa mawe mwilini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Douglas (alifariki 25 Juni 1743) alikuwa mtaalamu wa upasuaji wa kutoa mawe kwenye kibofu cha mkojo.

Alizaliwa akiwa mmoja wa wana saba wa William Douglas (aliyefariki 1705) wa Baads, Edinburgh, na mke wake Joan, binti wa James Mason wa Park, Blantyre. Alikuwa ndugu wa Dr James Douglas, daktari wa Malkia.

Kwa kipindi fulani, alihudumu kama mpasuaji katika Westminster Infirmary. Mwaka 1720 alichaguliwa kuwa mwanachama wa Royal Society.[1]

  1. ↑ [(http://www2.royalsociety.org/DServe/dserve.exe?dsqIni=Dserve.ini&dsqApp=Archive&dsqCmd=Show.tcl&dsqDb=Persons&dsqPos=13&dsqSearch=%28Surname='douglas)') "Library and Archive Catalogue"]. Royal Society. Iliwekwa mnamo 6 Machi 2012. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Douglas (mtoa mawe mwilini) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.