John Dougherty
Mandhari
(Elekezwa kutoka John Dougherty (askofu))
John Martin Dougherty (29 Aprili 1932 – 16 Aprili 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Marekani.
Dougherty aliwahi kuwa askofu msaidizi wa Dayosisi ya Scranton huko Pennsylvania kutoka mwaka 1995 hadi 2009.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Learn About the Bishop". Roman Catholic Diocese of Scranton. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-08-06. Iliwekwa mnamo 2009-07-14.
- ↑ "Scranton Bishops Join Protest of Notre Dame Decision To Honor President Obama". Roman Catholic Diocese of Scranton. 2009-04-01. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-07. Iliwekwa mnamo 2025-01-08.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |