John Donne
Mandhari
John Donne (1571 au 1572 – 31 Machi 1631) alikuwa mshairi na mhubiri wa Kanisa la Uingereza. Alizaliwa London na alisoma katika Chuo Kikuu cha Oxford na Chuo Kikuu cha Cambridge. Anajulikana kama mmoja wa washairi wakubwa wa karne ya 17 wa Uingereza, akiandika mashairi ya mapenzi, dini na kuhusu kifo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Papazian, Mary (2003). John Donne and the Protestant Reformation : new perspectives. Detroit, Michigan: Wayne State University Press. uk. 3. ISBN 9780814330128.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Donne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |