Nenda kwa yaliyomo

John Dew (kardinali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Atcherley Dew (alizaliwa 5 Mei 1948) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka New Zealand. Alikuwa Askofu Mkuu wa sita wa Kanisa Katoliki la Wellington na Kiongozi wa Kanisa la New Zealand, akihudumu kuanzia mwaka 2005 hadi 2023.

Pia aliteuliwa kuwa kardinali na Papa Fransisko mwaka 2015.[1]

  1. "Archbishop of Wellington: Most Reverend John Atcherley Dew DD". Catholic Archdiocese of Wellington. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.