John Chrisostom Ndimbo
Mandhari
John Chrisostom Ndimbo (alizaliwa 12 Oktoba 1960) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Tanzania anayehudumu kama Askofu wa Jimbo Katoliki la Mbinga. Aliteuliwa kuwa askofu wa Mbinga tarehe 12 Machi 2011 na Papa Benedikto XVI.
Kuanzia tarehe 8 Aprili 2021 hadi 14 Januari 2024, alihudumu kama Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Njombe kwa agizo la Papa Fransisko.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David M. Cheney (8 Oktoba 2024). "MicroData Summary for Bishop John Chrisostom Ndimbo (born 12 October 1960), Bishop of Mbinga". Kansas City. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Magdalene Kahiu (13 Aprili 2021). "Pope Francis Appoints Apostolic Administrator for Tanzania's Njombe Diocese". ACI Africa. Nairobi, Kenya. Iliwekwa mnamo 19 Januari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |