Nenda kwa yaliyomo

John Callcott Horsley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Callcott Horsley (Januari 29, 1817Oktoba 18, 1903) alikuwa mchoraji wa kitaaluma nchini Uingereza wa picha za kihistoria, mchoraji picha, na mbunifu wa kadi ya kwanza ya Krismasi. Mwaka 1843, alibuni kadi ya kwanza kabisa ya Krismasi, iliyoagizwa na Henry Cole. Alikuwa mwanachama wa koloni la wasanii la Cranbrook.[1]

  1. The Cranbrook Colony: Fresh Perspectives, Wolverhampton Art Gallery, 2010
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Callcott Horsley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.