John Calamos
Mandhari
John Calamos (Alizaliwa 1940) ni mfanyabiashara nchini Marekani mwenye asili ya Ugiriki, mwanzilishi wa Calamos Asset Management, kampuni inayosimamia dola bilioni 35 za mali.[1] Alihudumu kama rubani wa Jeshi la Wanaanga la Marekani katika Vita ya Vietnam, akiwa na zaidi ya saa 900 za mapigano.[2] Alipokea Distinguished Flying Cross (United States) mwaka 1969.[3] Mwaka 2016, alikadiriwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 2.7.[4] Aliandika vitabu viwili kuhusu dhamana zinazoweza kubadilishwa (convertible securities).[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Calamos acquires ESG firm Pearl Impact Capital". Pensions & Investments. 2021-08-26.
- ↑ "John Calamos - Recipient". valor.militarytimes.com.
- ↑ "John Calamos - Recipient". valor.militarytimes.com.
- ↑ "John Calamos, The World's Richest People". Forbes.
- ↑ Calamos, John P. (1988). Investing in convertible securities: your complete guide to the risks and rewards. Chicago: Longman Financial Services Publishing.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Calamos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |