Nenda kwa yaliyomo

John Burningham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Burningham (Alizaliwa 27 Aprili 1936 -Alifariki 4 Januari 2019) alikuwa mwandishi na mchoraji wa Uingereza wa vitabu vya picha kwa watoto wadogo. Aliishi kaskazini mwa London na mkewe Helen Oxenbury, mchoraji mwingine.[1] Kazi yake ya mwisho iliyochapishwa ilikuwa ushirikiano wa mume na mke, There's Going to Be a New Baby (Walker Books, Septemba 2011), iliyoandikwa na John na kuchorwa na Helen.

  1. Flood, Alison (7 Januari 2019). "John Burningham, children's author and illustrator, dies aged 82". The Guardian.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)