Nenda kwa yaliyomo

John Brodie (mwanasoka aliyezaliwa 1862)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Brant Brodie (30 Agosti 1862 – 16 Februari 1925) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza na alikuwa mtu muhimu katika miaka ya mwanzo ya kuanzishwa kwa Wolverhampton Wanderers F.C..

Maisha ya awali na binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa 30 Agosti 1862 katika Wightwick, Brodie alibatizwa tarehe 6 Oktoba 1862 katika Kanisa la St Peter, Wolverhampton, akiwa mtoto wa kwanza kati ya watoto watatu wa Henry Hugh, mfanyakazi wa kuyeyusha chuma (iron moulder), na Eliza Brant.[1]

Mnamo 9 Aprili 1887, akiwa na umri wa miaka 24, Brodie alifunga ndoa na Eda Lockley katika Kanisa la St. Luke, Wolverhampton, na walizaa watoto wanne: John (1888), Harold (1892), na Phyllis (1896).[1]

Kazi ya uchezaji

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1877, Brodie akiwa na umri wa miaka 15 pamoja na John Baynton walikuwa miongoni mwa waanzilishi wa klabu ya mpira wa miguu iliyokuja kuwa Wolverhampton Wanderers.[2]

  1. 1 2 [(http://www.englandfootballonline.com/TeamPlyrsBios/PlayersB/BioBrodieJB.html) "John Brodie (163)"]. [www.englandfootballonline.com](http://www.englandfootballonline.com). Iliwekwa mnamo 10 Juni 2025. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  2. [(https://www.wolves.co.uk/club/history/hall-of-fame/jack-brodie/) "Jack Brodie"]. [www.wolves.co.uk](http://www.wolves.co.uk). Iliwekwa mnamo 10 Juni 2025. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Brodie (mwanasoka aliyezaliwa 1862) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.