Nenda kwa yaliyomo

John Barnes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Charles Bryan Barnes MBE (alizaliwa 7 Novemba 1963) ni mchezaji na kocha wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Uingereza. Mara nyingi anachukuliwa kuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya England na pia mmoja wa wachezaji wakubwa katika historia ya Liverpool.[1][2]

  1. [(https://bleacherreport.com/articles/697376-englands-best-the-50-greatest-to-have-ever-worn-the-three-lions) "England's Best: The 50 Greatest to Have Ever Worn the 'Three Lions'"]. BleacherReport. Iliwekwa mnamo 5 Machi 2023. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. [(https://bleacherreport.com/articles/1575948-liverpool-legend-why-john-barnes-is-my-favourite-liverpool-player-of-all-time) "Liverpool Legend: Why John Barnes Is My Favourite Liverpool Player of All Time"]. Bleacher Report. 23 Machi 2013. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2023. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Barnes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.