John Albert Vasa
Mandhari
John Albert Vasa(25 Juni 1612 – 29 Desemba 1634) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Polandi na pia Mkuu wa Maaskofu wa Warmia na Kraków. Alikuwa mtoto wa Mfalme Sigismund III Vasa na Constance wa Austria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Marcin Latka. "Cardinal John Albert Vasa". artinpl. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |