John Stephen Akhwari
Mandhari
(Elekezwa kutoka John Akhwari)
John Stephen Akhwari
| Jinsia | mume |
|---|---|
| Nchi ya uraia | Tanzania |
| Jina halisi | John |
| Tarehe ya kuzaliwa | 1938, 1942 |
| Mahali alipozaliwa | Mbulu |
| Lugha ya asili | Kiswahili |
| Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kiswahili |
| Kazi | marathon runner, long-distance runner |
| End of work period | 1980 |
| Mchezo | Riadha |
| Sports discipline competed in | Mbio ya Marathon, 10,000 metres |
| Ameshiriki | 1968 Summer Olympics, 1962 British Empire and Commonwealth Games, 1970 British Commonwealth Games |
John Stephen Akhwari (amezaliwa wilayani Mbulu mkoani Manyara 1938) alikuwa mwanariadha kutoka nchini Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1968 kule Mexiko upande wa mbio ya marathoni.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Article on Akhwari at the Official Website of the Beijing 2008 Olympic Games
- Makala ya blogu ya Kiaustralia inayotaja Akhwari
| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |