Johannes Pujasumarta
Mandhari
Johannes Maria Trilaksyanta Pujasumarta (27 Desemba 1949, Surakarta – 10 Novemba 2015, Semarang) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki.
Alipadrishwa mwaka 1977 na baadaye akateuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Bandung, Indonesia, mwaka 2008. Mnamo 2010, aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Semarang. Pujasumarta alifariki dunia akiwa bado madarakani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |