Johann Theodor wa Bavaria
Mandhari

Johann Theodor wa Bavaria (3 Septemba 1703 – 27 Januari 1763) alikuwa kardinali wa karne ya 18 aliyewahi kuwa Prince-Askofu wa Regensburg, Prince-Askofu wa Freising, na Prince-Askofu wa Liège.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Miranda, Salvador. "BAYERN, Johann Theodor von (1703-1763)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621. Iliwekwa mnamo Desemba 29, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |