Joel Salatin
Mandhari
Joel F. Salatin (alizaliwa 24 Februari 1957) ni mkulima, mhadhiri, na mwandishi kutoka Marekani.
Salatin hufuga mifugo katika shamba lake linalojulikana kama Polyface Farm lililopo Swoope, Virginia, katika eneo la Shenandoah Valley. Nyama kutoka shambani humo huuzwa moja kwa moja kwa watumiaji na mikahawa kupitia mfumo wa uuza moja kwa moja bila wapatanishi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9D0CE7DF173EF932A35756C0A9639C8B63) "High Priest of the Pasture," The New York Times, Mei 1, 2005].
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joel Salatin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |