Nenda kwa yaliyomo

Joel Acosta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joel Gustavo Acosta (alizaliwa 16 Januari 1991) ni mchezaji wa kandanda kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya kiungo. Acosta alicheza mechi yake ya kwanza ya kitaaluma akiwa na Boca Juniors tarehe 24 Oktoba 2010 katika mchezo wa ligi dhidi ya Independiente Avellaneda. Aliingia uwanjani kama mbadala wa Lucas Viatri katika dakika ya 88. Mchezo huo uliisha kwa sare ya bila kufungana (0–0).[1][2][3]


  1. "Ufficiale: Acosta con il Siena, arriva in prestito dal Boca". 12 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Joel Acosta profile". Soccerway. 10 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Joel Acosta profile". ESPN FC. 10 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joel Acosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.