Joe Lewis (mwanamichezo wa sanaa za mapigano)
Mandhari
Joe Lewis (7 Machi 1944 – 31 Agosti 2012) alikuwa mwanamichezo wa sanaa za mapigano, mpiganaji wa kulipwa wa kickboxing na mwigizaji kutoka Marekani.
Mwanzoni alikuwa mtaalamu wa karate ya Shōrin-ryū na bingwa wa mashindano ya point sparring. Baadaye alikuja kuwa mmoja wa waanzilishi wa full contact karate na kickboxing nchini Marekani, na anatambuliwa kwa kusaidia kueneza mchezo huo wa mapigano Amerika Kaskazini.[1][2]
Kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya kickboxing ya kisasa, mara nyingi alijulikana kama “Baba wa Kickboxing ya Kisasa”.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ NC, SideKick Karate Dojo of Salisbury. [(https://sidekickdojo.com/joe-lewis) "SideKick Karate Dojo of Salisbury, NC"]. SideKick Karate Dojo of Salisbury, NC (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-04.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link] - ↑ [(https://www.tapology.com/fightcenter/fighters/279652-joe-lewis-the-father-of-modern-kickboxing) "Joe Lewis ("The Father Of Modern Kickboxing") | Fighter Page"]. Tapology (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-04.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joe Lewis (mwanamichezo wa sanaa za mapigano) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |