Nenda kwa yaliyomo

Joaquim Chissano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joaquim Chissano

Joaquim Chissano, 2004

Muda wa Utawala
6 Novemba 1986 – 2 Februari 2005
Waziri Mkuu Mário da Graça Machungo
Pascoal Mocumbi
Luísa Diogo
mtangulizi Samora Machel
aliyemfuata Armando Guebuza

Waziri wa Mambo ya Nje
Muda wa Utawala
25 Juni 1975 – 19 Oktoba 1986
mtangulizi Ofisi iliundwa
aliyemfuata Pascoal Mocumbi

tarehe ya kuzaliwa 22 Oktoba 1939 (1939-10-22) (umri 85)
Malehice
(sasa Msumbiji)
chama FRELIMO
ndoa Marcelina Rafael Chissano
watoto 4

Joaquim Alberto Chissano (amezaliwa 22 Oktoba 1939) ni mwanasiasa aliyehudumu kama Rais wa pili wa Msumbiji, kutoka mwaka 1986 hadi 2005. Chissano pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika kutoka 2003 hadi 2004.

Ana sifa ya kubadilisha nchi ya Msumbiji iliyozidiwa vita kuwa moja ya demokrasia za Afrika iliyofanikiwa zaidi.

Baada ya urais wake, Chissano alikuwa mhudumu, mjumbe na mwanadiplomasia wa nchi yake ya nyumbani na Umoja wa Mataifa.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joaquim Chissano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.