Joannes-Henricus de Franckenberg
Mandhari
Johann Heinrich, Graf von Frankenberg (18 Septemba 1726 – 11 Juni 1804) alikuwa Askofu Mkuu wa Mechelen, Kiongozi Mkuu wa Nchi za Chini, na kardinali. Alisaini kwa majina de Franckenberg na van Franckenberg.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |