Joan Stewart, Binti Mfalme wa Morton
Mandhari
Joan Stewart, binti wa Mfalme James I wa Uskochi[1], anayejulikana pia kama Joanna[2] (takriban 1428 – 22 Juni 1493), alikuwa Malkia mdogo wa Morton na mke wa James Douglas, Chifu Mkuu wa Kwanza wa Morton. Alifahamika kwa jina la Kilatini “muta domina,” likimaanisha “bibi bubu” wa Dalkeith[3][4] [5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.britannica.com/biography/James-I-king-of-Scotland
- ↑ https://deafhistory.eu/index.php/component/zoo/item/uk
- ↑ https://www.geni.com/people/Joan-of-Scotland-Countess-of-Morton/5202009888810053546
- ↑ https://www.unusualverse.com/2019/03/joan-stewart-deaf-princess-middle-ages.html
- ↑ https://books.google.co.tz/books?id=oeDwEAAAQBAJ&dq=Joan+Stewart,+Countess+of+Morton+deaf&pg=PA470&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joan Stewart, Binti Mfalme wa Morton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |