Nenda kwa yaliyomo

João Baptista Ferreira Medina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

João Baptista Ferreira Medina ni mwanasiasa kutoka Cabo Verde akiwa ni mwanachama wa chama cha Movement for Democracy (MPD) na alichaguliwa kuwa Mbunge katika Bunge la Kitaifa kutoka eneo bunge la São Vicente, pia ni mjumbe wa Bunge la Afrika.[1]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu João Baptista Ferreira Medina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.