Nenda kwa yaliyomo

Jivu (tamthilia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jivu ni tamthilia ya Kiswahili kutoka nchini Tanzania inayorushwa DStv/Maisha Magic Bongo. Inachunguza mivutano ya kizazi, familia, mila na upendo kwa mtazamo wa jamii za Kiafrika[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  • Malkia Karen
  • King Sudeys
  • Ester Darwesh
  • Cholo Kobisi
  • Clara Nampunju
  • Nawanda

Jivu ni miongoni mwa tamthilia kumi kutoka Afrika mashariki zinazowania tuzo chaguo la wananchi katika Tamasha la kimataifa la filamu la Zanzibar (ZIFF) linaloanza Juni 25 hadi 29 mwaka 2025.[2]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jivu (tamthilia) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.