Jitu Potevu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Jitu Potevu”
Single ya LG Mobb
Imetolewa 2002
Muundo CD
Imerekodiwa 2002
Aina Hip hop
Urefu 4:10
Studio FM Studio
Mtunzi Mbarak Omar
Kambi Said
Cool MK
KD Dasko
Mtayarishaji Miikka Mwamba
Mwenendo wa single za LG Mobb
"Jitu Potevu"
(2002)
"Bangi Balaa" Wakimsh. Kali P
(2003)

Jitu Potevu ni single ya kwanza kutoka katika kundi la muziki wa hip hop - LG Mobb. Single ilitoka mnamo mwaka wa 2002 ikiwa chini ya utayarishaji wake Miikka Mwamba wakati yupo katika studio ya FM Productions.

Nyimbo haikubahatika sana kupata chati za muziki wa hip hop ya bongo, hasa kwa upya wa wasanii wenyewe. Kingine, wenye muziki wao hawakuipa msaada wa kuitangaza nyimbo hiyo kwa kuwa bado walikuwa wapya katika medani hiyo ya muziki wa hip hop katika Tanzania.

Hawakuishia hapo, na mwaka uliofuatia wakatoa kibao chao cha pili kilichokwenda kwa jina la "Bangi Balaa" iliyofanywa katika studio za Bongo Records iliyochini ya P Funk Majani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jitu Potevu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.