Jimbo la uchaguizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la uchaguzi (kwa Kiingereza: constituency, riding, ward, division, electoral area au electorate) ni eneo la nchi yoyote lililotengwa kwa ajili ya upigaji kura. Kwa kawaida lengo ni kupata mwakilishi mmoja au zaidi kwa ajili ya bunge au mkusanyiko mwingine. Taratibu za zoezi hilo ziko nyingi tofautitofauti.

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo la uchaguizi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.