Eneo bunge la Saku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Saku)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Saku ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, Mashariki mwa nchi. Eneo lote la jimbo hili liko chini ya Baraza la Utawala wa Mitaa la Marsabit County.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili liliazishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Jillo Jarso Falana KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Jillo Jarso Falana KANU
1997 Abdi Tari Sasura KANU
2002 Abdi Tari Sasura KANU Sasura aliaga katika ajali ya angani mnamo 2006 [2].
2006 Hussein Sasura KANU Uchaguzi Mdogo
2007 Hussein Sasura ODM-Kenya

Kata na wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi ya watu*
Badasa 2,898
Dakabaricha 5,119
Dirib Gombo 4,523
Karare 5,445
Mountain 8,943
Nagayo 7,530
Qilta 3,712
Sagante 3,886
Songa 3,498
Jumla 45,554
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Dakabaricha 2,714
Dirib Gombo 2,990
Karare 2,486
Mountain 4,763
Sagante 2,930
Jumla 15,883
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]