Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jimbo la Uchaguzi la Nakuru Town lilikuwa Jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo sita ya uchaguzi katika Wilaya ya Nakuru. Sehemu yote ya jimbo hili ilipatikana chini ya Baraza la Munisipali ya Nakuru.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963, kwa hivyo ni mojawapo ya majimbo ya uchaguzi ya kwanza kabisa nchini Kenya baada ya Uhuru.

Mwaka Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Achieng Oneko KANU
1966 Mark Waruiru Mwithaga KANU
1969 Mark Waruiru Mwithaga KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Mark Waruiru Mwithaga KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1976 Willy Komen KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Mark Waruiru Mwithaga KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Amos Kabiru Kimemia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Amos Kabiru Kimemia KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 J. C. Lwali-Oyondi Ford-Asili
1997 David Manyara Njuki DP
2002 Mirugi Kariuki NARC Kariuki alikufa katikaajali ya angani mnamo 2006
2006 William Kariuki Mirugi NARC-K Uchaguzi Mdogo
2007 Lee Maiyani Kinyanjui PNU

Lokesheni na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Lokesheni
Lokesheni Idadi ya
watu*
Baruti 11,633
Central 97,811
Kaptembwo 137,317
Lake Nakuru 426
Lanet 46,217
Jumla x
Hesabu ya 1999
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliosajiliwa
Barut East 2,502
Barut West 2,838
Biashara 21,028
Bondeni 4,119
Hospital 6,700
Kaptembwa 7,200
Kivumbini 12,420
Lake View 6,019
Langa Langa 8,135
Menengai 4,696
Nakuru East 9,854
Rhoda 7,916
Shabab 9,751
Shauri Yako 4,541
Viwanda 4,863
Jumla 112,582
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]