Jimbo Katoliki la Iringa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo katoliki la Iringa)
Kanisa la Iringa mjini, Tanzania.
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Iringa (kwa Kilatini "Dioecesis Iringaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Makao makuu yake yako Iringa katika mkoa wa Iringa, lakini linaenea pia katika mkoa wa Mbeya.

Kanisa kuu limewekwa wakfu kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbeya kuanzia tarehe 21 Desemba 2018.

Askofu wake ni Tarcisius Ngalalekumtwa.

Anwani ya posta ni: P.O. Box 133, Iringa, Tanzania.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kumegwa ili kuzaa Jimbo Katoliki la Mafinga tarehe 22 Desemba 2023, eneo lake ni la kilometa mraba 32,202, ambapo kati ya wakazi 2,172,101, Wakatoliki ni 530,094 (24.4%) katika parokia 28. Mapadri ni 99, wakiwemo wanajimbo 81 na watawa 18. Kwa wastani kila mmoja anahudumia waamini 5,354. Shemasi ni 1, mabruda ni 155 na masista 599.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Iringa kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.