Nenda kwa yaliyomo

Jimbo Katoliki la Kapsabet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Papa Leo XIV
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Katoliki la Kapsabet ni mojawapo kati ya majimbo 28 ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. Lipo chini ya jimbo kuu la Kisumu. Makao makuu yako Kapsabet.

Tarehe 10 Julai 2025 limeanzishwa kwa kumega Jimbo Katoliki la Eldoret upande wa kaunti ya Nandi. Kama Askofu wake wa kwanza ameteuliwa John Kiplimo Lelei.

Jimbo jipya lina Km2 2,888.4, wanapoishi watu 885,711, ambao kati yao Wakatoliki ni 313,655.

Parokia ni 36, mapadri ni 52, wakiwemo wanajimbo 44, watawa wa kike ni 44, waseminari ni 29 na makatekista 316.

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kapsabet kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.