Jimbo Katoliki la Kabinda
Jimbo Katoliki la Kabinda (kwa Kilatini Dioecesis Kabindaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kananga.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Uongozi[hariri | hariri chanzo]
Takwimu[hariri | hariri chanzo]
Eneo ni la kilometa mraba 58,625, ambapo kati ya wakazi 1,141,080 (2016) Wakatoliki ni 591,100 (51.8%) katika parokia 30.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Kabinda kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |