Jim Walton
Mandhari
James Carr Walton (Alizaliwa Juni 7, 1948) ni mfanyabiashara nchini Marekani, kwa sasa mrithi wa utajiri wa Walmart katika familia ya Walton, muuzaji mkubwa zaidi duniani. Kufikia Februari 2026, Walton ni mtu tajiri wa 12 duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 142.4 kulingana na Forbes[1].Yeye ni mtoto wa mwisho wa Sam Walton[2][3].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Jim Walton & family". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-02-06.
- ↑ "Walmart's surge just added $12 billion to the Walton family's wealth". nordic.businessinsider.com. Iliwekwa mnamo 2018-08-19.
- ↑ Ortega, Bob (1999). In Sam We Trust: The Untold Story of Sam Walton and how Wal-Mart is Devouring the World. Kogan Page Publishers. uk. 28. ISBN 978-0-7494-3177-8.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jim Walton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |