Nenda kwa yaliyomo

Jim Guthrie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jim Guthrie ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Kanada. Ameandika na kurekodi nyimbo kama msanii wa solo na pia kama mwanachama wa bendi za Islands, Royal City, na Human Highway.[1] [2]

  1. Khanna, Vish (Mei 14, 2013). "Jim Guthrie 'Takes Time': First Wave Canadian Indie Rock Star Is Getting Old And He's Fine With It". www.huffingtonpost.ca/. The Huffington Post. Iliwekwa mnamo Februari 16, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jim Guthrie (II)". www.imdb.com/. IMDb. Iliwekwa mnamo Februari 16, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jim Guthrie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.